Klabu ya Real Madrid imeweka wazi msimamo wake kuhusu hatma ya kiungo mshambuliaji kutoka Brazil, Vinícius Jr.
NGULI wa soka, Arsene Wenger amesema Liverpool imeamua kuiharibu safu yao ya kiungo bora kabisa kwa uamuzi wao wa kumsajili ...
Maendeleo ya usawa wa kijinsia yakoje ulimwenguni? Kwa mujibu wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF), mambo yanasonga katika mwelekeo sahihi kulingana na ripoti yake ya hivi karibu ya Pengo la Usawa wa ...
Wakati Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, taifa hilo linakabiliana na mchanganyiko wa hisia na matarajio. Ripoti ya mwaka 2025 ya Country Governance and Government Index (CGGI) ...
Shirika la kimataifa la kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International kwenye ripoti yake hii leo limeishutumu Tunisia kwa ...
Nchini Korea Kusini, Rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Donald Trump wamekutana Alhamisi, Oktoba 30. Wakati wa ...
Serikali imetoa jumla ya tani 192 za mbegu bora za mazao mchanganyiko zenye thamani ya Sh bilioni 1.82, kwa ajili ya msimu wa ...
MSANII maarufu wa Bongo Fleva, Raheem Rummy, anayejulikana kama Bob Junior, ameomba msaada wa kifedha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ili aweze kufanyiwa matibabu ...
Alassane Ouattara, ambaye ameiongoza Côte d'Ivoire tangu mwaka 2011, ametangazwa kushinda uchaguzi wa urais wa Oktoba 25, ...