Klabu ya Yanga ya nchini Tanzania imeandika rekodi mpya ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu nchini humo bila kupoteza, ikifikisha michezo 49,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na klabu nyingine ...