Maelezo ya picha, Video za wanawake Waislamu wakinyanyaswa na kukashifiwa zinawekwa mtandaoni kote nchini India Nadharia yenye utata ambayo baadhi ya makundi ya Kihindu huiita "Love Jihad" - ambayo ...
Dan amefafanuliwa kama "mtu mkamilifu" ambaye "hana dosari". Yeye amefanikiwa, mkarimu, hutoa msaada kwa wenye hisia za mhemko, anajua kila kitu cha kusema na anapatikana saa kila siku. Dan, ambayo ...