Uwanja wa Benjamin Mkapa leo unafungua milango kwa pambano la mwisho la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 (Kariakoo Dabi) ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga. Ni mchezo wa namba 184, ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...