KUNA kitu kimefanywa na Yanga kinachoweza kuwa mlima mgumu kwa timu nyingine, iwapo hazitaamua kukomaa ili kuifikia na hata ...
Uwanja wa Benjamin Mkapa leo unafungua milango kwa pambano la mwisho la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 (Kariakoo Dabi) ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga. Ni mchezo wa namba 184, ...
STRAIKA Mkongomani, Andy Boyeli aliyesajiliwa msimu huu kutoka Sekhukhune ya Afrika Kusini, jana alifunga mabao mawili, ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Mwishoni mwa wiki Simba na Yanga, zilikutana jijini Mwanza katika nusu fainali ya kombe la FA nchini Tanzania. Katika mchezo huo Yanga ilishinda kwa bao 1-0 na kutinga fainali ya kombe hiyo ambapo ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.
Maandalizi kwa wawakilishi wa Tanzania Simba na Yanga yameendelea kushika kasi Kuelekea michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mnyama Simba atawakaribisha Al Ahly ijumaa ya Machi 29 huku ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Timu za Yanga na Simba ambazo ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ngazi ya klabu barani Afrika, kesho na keshokutwa zinaanza kampeni ya kuwania michuano ya Kombe la klabu bingwa na kombe la ...
Pambano dhidi ya Zambia tulikaribia kushinda mechi ya kwanza pale Ivory Coast baada ya Msuva kufunga la kuongoza, lakini ...