Timu ya Young Africans Sports Club almaarufu Yanga, imeshika nafasi ya pili katika Kombe la Shirikisho la Afrika (CAFCC), linaloratibiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kufuatia kushindwa katika ...
Matokeo hayo yanaifanya Yanga kuwa mshindi wa kihistoria katika Ligi hiyo kwa kunyakuwa ubingwa huo mara 25 HATIMAYE yametimia Yanga ndiyo mabingwa wapya wa Ligi ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2014 ...
Licha ya Yanga kutoka sare tasa nyumbani dhidi ya Rivers United ya Nigeria, imefuzu kwa nusu fainali kutokana na ushindi wa 2-0 kwa jumla. Katika mechi ya jana Jumapili, Yanga iliitaji sare ya aina ...
Mabingwa watetezi Yanga wameendelea kung'ang'ania kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-0 kwa Nunge dhidi ya wenyeji, Singida Fountain Gate. "Wana nafasi kubwa ya kutetea ...
Bao Pekee la Feisal Salum Abdallah dakika ya 90 limeirejesha Yanga kileleni mwa ligi kuu soka tanzania Bara kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons. Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons,Shaban ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results