Uwanja wa Benjamin Mkapa leo unafungua milango kwa pambano la mwisho la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 (Kariakoo Dabi) ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga. Ni mchezo wa namba 184, ...
Ligi kuu ya Tanzania bara msimu wa 2024/25 imehitimishwa kwa namna isiyo ya kawaida. Yanga SC, klabu yenye historia kubwa na ushawishi mpana katika soka la Tanzania, imetwaa ubingwa wake wa nne ...
Matokeo hayo yanaifanya Yanga kufikisha pointi 43 na kijiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa msimu huu huku pia ikiwa inafanya vizuri kw... TIMU ya YANGA leo imeweweka rekodi mpya kwenye ...