Manispaa ya mji wa Moshi nchini Tanzana yamvua wadhifa Meya wa eneo hilo Juma Raibu, kwa sababu mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, nidhamu mbovu na rushwa. Hata hivyo miongoni mwa mambo ...
Sherehe ya kutoa tunzo za rais iliyofanyika jana katika ikulu ya rais mjini Nairobi Kenya, ilitatizwa wakati mke wa rais Kibaki, Bi Lucy Kibaki alipompiga kibao msimamizi mkuu wa sherehe hiyo.
Marais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh na Uhuru Kenyatta wa Kenya na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn waliwasili kuhudhuria sherehe hiyo tangu asubuhi. Viongozi wengine wa kikanda walikua ...
Wa Australia wengi walitazama sherehe hiyo, wakiwa humu nchini na Uingereza, wakati wawakilishi wao wakichukua nafasi zao katika ukumbi wa sherehe hiyo. Sherehe hiyo imezua mchanganyiko wa maoni, ...
Malkia Beatrix wa Uholanzi amesaini kanuni ya kumpa kiti mwanawe Willem Alexander, Mfalme wa kwanza wa nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 100. Umati wa Watu ulimiminika asubuhi ya leo mjini Amsterdam ...
Wana jumuiya yawa Tanzania wanao ishi mjini Melbourne, Victoria wanajiandaa kushiriki katika sherehe kubwa ya uhuru wa taifa lao pendwa. Bw Ary Lyimo ni mmoja wa waanzilishi wa jumuiya hiyo, na kwa ...