Maelfu ya watu wa jamii ya Wamakonde wanapewa uraia wa Kenya kwa mara ya kwanza. Kabila la Makonde linaloishi pwani ya Kenya walihama kutoka Msumbiji enzi za ukoloni kuja Kenya na kufanya kazi katika ...
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo hii amewakabidhi jamii ya Wamakonde vitambulisho vyao katika kaunti ya Kwale, na kutekeleza ahadi yake ya mwaka jana Wamakonde walipomtembelea katika Ikulu ya Nairobi.
Ndonya ni moja ya utamaduni maarufu miongoni mwa jamii za wamakonde na makabila mengine kama wamakua, wamatambwe nchini Tanzania. Hapo zamani ulitumika kutambulisha urembo wa mwanamke. Hata hivyo ...