INAWEZEKANA. Ndivyo anavyosema winga wa Azam FC, Iddi Seleman Nado ambaye msimu huu anauona wakifanya vizuri na suala la ...
Azam baada ya kucheza mechi 11 imefikisha alama 27, jana iliishinda Singida United ya Singida kwa bao 1-0. Simba ilifikisha alama 23 baada ya jana kuibandika Rivu Shootinga mabao 5-0 huku mshambuliaji ...
DROO ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/26 imetoa taswira wazi ...
Kujiengua kwa Simba ,Yanga na Azam FC kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup ambayo Tanzania ni mwenyeji inatajwa kuleta athari ya moja kwa moja kwenye michuano hiyo. Ugumu wa ratiba kwa ajili ya ...
Yanga itakutana na wababe wa Simba Coastal Union, wakati Mwadui FC watapambana na Azam FC,mechi zote mbili zikipigwa Aprili 24 Ratiba ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA, imepangwa usiku wa ...
Yanga ya Dar es Salaam imefanikiwa kufika fainali baada ya kuifunga kwa taabu timu ya APR ya Rwanda bao 1-0 katika uwanja wa Taifa jijini humo. Baada ya ushindi huo Yanga sasa Jumamosi itakabiliana na ...
Dar es Salaam. Three Tanzanian clubs competing in African continental club competitions have chosen Zanzibar’s New Amaan Complex as their home ground for the group stage matches.The clubs are Young ...