Baba mzazi wa mtoto aliefariki kwa kudonolewa na kuku, Benjamin Makelo kulia akiwa ameshikiliwa pembeni ya kaburi la mwanae. MAMIA ya wakazi wa mitaa mbalimbali ndani na nje ya wilaya ya Mbozi mkoani ...
Jumuiya ya ushirikiano ya Kusini-Mashariki mwa Asia, ASEAN jana ilitia saini makubaliano ya uboreshaji wa biashara huria na China. Jumuiya ya ushirikiano ya Kusini-Mashariki mwa Asia, ASEAN jana ...
Utafiti mmoja uligundua kwamba takriban asilimia 80 ya wagonjwa wa kifaduro nchini Japani waliambukizwa na aina ya ugonjwa huo inaostahimili viua vijasumu. NHK imepata matokeo ya utafiti huo. Hii ...
Babati. Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza utoaji wa gesi chafu ya kaboni kuelekea mkutano mkuu wa mazingira wa Umoja wa ...
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imezindua Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi yenye wataalamu 67 kutoka nchi zote wanachama, kwa ajili ya kufuatilia na kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa ...
KATIKA vitu viwili ambavyo mashabiki wa Yanga wanavisubiri hivi sasa kutokea katika klabu hiyo, suala la kumpata mrithi wa Romain Folz limechukua nafasi kubwa kutokana na uhitaji wa kuboresha benchi ...
China imewafuta kazi maafisa tisa waandamizi wa jeshi kutoka Chama cha Kikomunisti kama sehemu ya msako wa muda mrefu dhidi ya ufisadi. Ni pamoja na maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi wa nchi hiyo.
Wakati China imeacha kununua maharagwe ya soya kutoka Marekani, rais wa Marekani anatishia kuwekewa vikwazo vya mafuta ya kupikia, na hivyo kuchochea zaidi mvutano wa kiuchumi kati ya Washington na ...
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango. MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili aendelee kupumzika kwa amani na awe ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results