Mazishi hayo yaligubikwa na simanzi na hisia kali, hasa pale wanafamilia waliposimama kutoa hotuba zao za kumkumbuka marehemu. Mtoto wa kiume wa Raila, Raila Junior Odinga, alimwelezea babake kuwa ...
Je, inawezekana kuwa kizazi cha sasa cha vijana ni "kizazi kilichokataliwa zaidi katika historia"? Wazo hili lilitolewa na mwandishi wa habari wa Marekani, David Brooks, kupitia makala katika The New ...
Zimesalia wiki mbili pekee kabla ya uchaguzi mkuu wa Tanzania kufanyika Oktoba 29, 2025. Tangu uliporejeshwa mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi hapa nchini 1995, huu utakua uchaguzi mkuu wa kwanza ...
KATIKA sehemu mbili zilizotangulia za ripoti hii maalum, tulieleza namna mabaki ya dawa na vifaa tiba majumbani yanavyoendelea kuwa chanzo hatarishi cha uchafuzi wa mazingira, kuongeza usugu wa ...
Jeshi la Polisi nchini limesema linafanya uchunguzi kufuatia taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametekwa. Msemaji ...
HAKUNA ubishi zipo filamu nyingi zinazohusiana na simulizi za kidini hususani za Yesu Kristo, lakini filamu iitwayo Jesus ndio iliyobamba zaidi na kutumika kusambaza Injili sehemu mbalimbali duniani.
HII ni wikiendi iliyobeba ujazo wa kutosha kwa upande wa wapenda soka. Si Tanzania pekee, bali hadi nje ya mipaka kwani ni burudani bandika bandua. Jana Ijumaa, tulishuhudia Azam FC ikirudiana na KMKM ...
Maelfu ya waombolezaji wamehudhuria maombi ya kitaifa ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga leo. Ulinzi mkali umeimarishwa baada ya hapo jana maafisa kufyatua risasi kutawanya umati wa ...
China imewafuta kazi maafisa tisa waandamizi wa jeshi kutoka Chama cha Kikomunisti kama sehemu ya msako wa muda mrefu dhidi ya ufisadi. Ni pamoja na maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi wa nchi hiyo.
‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekataa maombi ya kusimamishwa shauri la kudharau amri ya mahakama linalowakabili viongozi wa Chadema, wakiwamo Makamu Mwenyekiti (Bara), ...
Baadhi ya mawakala wa mgombea udiwani kata ya Masaba wilayani Butiama kupitia ACT Wazalendo wakiwa kwenye ofisi ya kata hiyo. Picha picha na Beldina Nyakeke Butiama. Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ...