Kitengo Shirikishi cha Afya ya Uzazi na Mtoto Zanzibar kimeonya dhidi ya matumizi holela ya dawa ya uzazi wa mpango ya P2, kikisisitiza kuwa dawa hiyo ni kwa ajili ya dharura pekee na haipaswi ...
Hamas inadai inajitahidi kupata na kutambua mabaki yote, lakini inakosa vifaa vinavyohitajika kutokana na uharibifu mkubwa katika Gaza. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, Randrianian/X ...
Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeelezea wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za vifo vya raia na wimbi la wakimbizi wa ndani, kufuatia kuendelea kwa mapigano makali ...
NHK imegundua kuwa picha bandia za video zinazodaiwa kuwaonyesha binadamu na wanyama wengine wakiwafukuza dubu zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii. Picha kama hizo ni dhahiri zinazotokana na Akili ...
Hatua ya rais wa Kenya William Ruto kumtunuku aliyewahi kuwa waziri Mkuu na kiongozi wa upinzani nchini Kenya, hayati Raila Odinga, nishani ya juu zaidi nchini, kukamatwa kwa makamu mwenyekiti wa ...
KUMEKUWA na vikao vya hapa na pale vinavyofanywa na mabosi wa Yanga sambamba na wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo ili kuweka mambo sawa kuelekea mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura wa Umoja wa Mataifa Joyce Msuya ametembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), kujionea kwa macho hali ya kibinadamu iliyozidi kuwa mbaya kutokana na watu wengi ...
KATIKA vitu viwili ambavyo mashabiki wa Yanga wanavisubiri hivi sasa kutokea katika klabu hiyo, suala la kumpata mrithi wa Romain Folz limechukua nafasi kubwa kutokana na uhitaji wa kuboresha benchi ...
Zaidi ya watoto 20 walio chini ya umri wa miaka mitano wamefariki dunia katika jimbo la Madhya Pradesh, India, baada ya kutumia dawa ya kikohozi iliyogundulika kuwa na kiwango kikubwa cha kemikali ...
Hali hiyo inajirudia Madagascar: jeshi limedai siku ya Jumanne "kuchukuwa mamlaka," na kumaliza vyema utawala wa Andry Rajoelina, ambaye aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2009 chini ya ...
Je, mawazo ya kutuma mtandaoni kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya kazi yako yanakuletea hofu? Hauko peke yako. Iwe unasimamia mitandao ya kijamii ya kampuni au unahisi shinikizo la kuwa balozi wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results