Vodacom Tanzania PLC imetangaza uzinduzi wa filamu ya “NIKO SAWA”, filamu ya kipekee ya Kitanzania inayopatikanaw kupitia VTV, programu inayokuwezesha kuangalia tamthilia na filamu mbalimbali kwa njia ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za mafuta zinazotumika kuanzia leo Septemba 3, 2025, zikionesha kupungua kwa kwa shilingi 36 kwa bei ya petroli na ...