Je, inawezekana kuwa kizazi cha sasa cha vijana ni "kizazi kilichokataliwa zaidi katika historia"? Wazo hili lilitolewa na mwandishi wa habari wa Marekani, David Brooks, kupitia makala katika The New ...
Zimesalia wiki mbili pekee kabla ya uchaguzi mkuu wa Tanzania kufanyika Oktoba 29, 2025. Tangu uliporejeshwa mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi hapa nchini 1995, huu utakua uchaguzi mkuu wa kwanza ...
JUMATANO iliyopita katika Kura Yangu Nguvu Yangu, tuliangalia umuhimu wa wanawake kuwa ndani ya mifumo ya uongozi. Tulipitia takwimu mbalimbali kuona kwa hapa Tanzania, ni kwa kiasi gani wanawake ...
KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye yuko jela kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Ana historia ya miongo minne sasa, akikumbana na msururu wa kesi, kukaa kizuizini na hata kuwahi kukimbia ...
China imewafuta kazi maafisa tisa waandamizi wa jeshi kutoka Chama cha Kikomunisti kama sehemu ya msako wa muda mrefu dhidi ya ufisadi. Ni pamoja na maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi wa nchi hiyo.
Wakati China imeacha kununua maharagwe ya soya kutoka Marekani, rais wa Marekani anatishia kuwekewa vikwazo vya mafuta ya kupikia, na hivyo kuchochea zaidi mvutano wa kiuchumi kati ya Washington na ...
Quaint and authentic, this traditional ryokan inspires guests with its Japanese style while keeping the modern comforts of home readily available. Because it is set by a river, most guests are ...
Nestled in the heart of the Berkshires, this camper's paradise offers waterfront campground sites, a sandy swimming beach, and plenty of water activities. Reviewers are raving about these hikes in ...
MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kampeni mkoani Kagera tarehe 15 na 16 Oktoba mwaka huu, kwa ajili ya kuomba kura za wananchi wa mkoa huo ...
Azam FC imetoa wito kwa Watanzania kuchangamkia nafasi ya Mtendaji Mkuu iliyoachwa wazi na Abdulkarim Nurdin maarufu kama Popat. Hivi karibuni, klabu hiyo yenye maskani yake Chamazi jijini Dar, ...
DAKIKA tisini zijazo za michuano ya kimataifa zimebeba maana kubwa kwa wawakilishi wa Tanzania kuandika rekodi mpya katika soka la nchi hii kupitia michuano hiyo inayosimamiwa na Shirikisho la Mpira ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results