Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwamba uungaji mkono wake kwa Argentina "kwa namna fulani" utatokana na matokeo ya uchaguzi ujao wa wabunge, ambao utakuwa wa maamuzi ...
Korea Kaskazini imeanza kujenga Jumba la Makumbusho kwa wanajeshi wake waliofariki katika vita wakisaidi Urusi nchini Ukraine, vyombo vya habari vya serikali vimeripotisiku ya Alhamisi, huku wa nchi ...
Mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wamekutana Jumatano mjini Brussels nchini Ubelgiji kujadili namna ya kujilinda na kukabiliana na vitisho na uchokozi wa Urusi. Umoja ...
Wakenya wanaoishi jijini Nairobi wamepata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa Raila Odinga kwa siku ya pili mfululizo baada ya ibada ya mazishi. Na Asha Juma, Ambia Hirsi & Lizzy Masinga Kamati ...
Trump amesema "Bado kuna matumaini kwamba Hamas watafanya kilicho sawa" na "kama hawatafanya, itafikia mwisho wake HARAKA, kwa HASIRA & na wa KIKATILI". Na Lizzy Masinga, Mariam Mjahid & Asha Juma ...
Wizara ya afya ya Gaza inayodhibitiwa na Hamas imesema Israel imeirejesha miili ya wapalestina wengine 30 katika Ukanda wa Gaza, na kufikisha jumla ya miili 195 iliyorejeshwa chini ya makubaliano ya ...
An annual CAPA Membership provides a front row seat to global aviation news, analysis and data as it happens, with access to a comprehensive suite of tools that can be customised to your needs. Join ...
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) leo Oktoba 09, 2025 wametoa elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Nyangaka, iliyopo Halmashauri ya ...
Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ni miaka 80 tangu kuanzishwa kwake 1945, lakini pia ni kumbukizi ya miaka 80 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo lilikuwa ni tukio la ...
At the end of June 2025, 117.3 million individuals worldwide remained forcibly displaced as a result of persecution, conflict, violence, human rights violations or events seriously disturbing public ...
Kote Afrika Mashariki na Kusini, mamilioni ya wanawake huanza siku zao mapema sana kabla hata ya jua kuchomoza. Huteka maji, huandaa chakula, kuwalea watoto na wazee, kusaidia wanajamii wenye ulemavu ...