"WAMENIAMBIA mambo yako mama eee, wamenieleza matatizo ya mume wako eee, ya kisa cha wewe sheri Zinduna, kufika kupewa talaka." Ni mwanzo wa wimbo uliotungwa na gwiji la muziki Tanzania, Zahir Ally ...
KUNA masuala kwenye jamii, kulingana na utamaduni hayazungumziki hadharani, ingawa zipo changamoto hasa kiafya. Tendo la ndoa kwa wenye uhusiano na rasmi kwenye ndoa, linatafsiriwa kiimani na ...