Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza utoaji wa gesi chafu ya kaboni kuelekea mkutano mkuu wa mazingira wa Umoja wa ...
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imezindua Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi yenye wataalamu 67 kutoka nchi zote wanachama, kwa ajili ya kufuatilia na kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa ...
China imewafuta kazi maafisa tisa waandamizi wa jeshi kutoka Chama cha Kikomunisti kama sehemu ya msako wa muda mrefu dhidi ya ufisadi. Ni pamoja na maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi wa nchi hiyo.
Serikali mpya ya Peru imetangaza siku ya Alhamisi nia yake ya kutangaza hali ya hatari katika mji mkuu, Lima, kufuatia wimbi la ghasia za uhalifu zilizopangwa ambazo zimesababisha maandamano makubwa ...
Tangu Jumanne, Oktoba 14, Nairobi, mji mkuu wa Kenya, umekuwa mwenyeji wa mkutano wa siku mbili wa sehemu ya upinzani wa Kongo ulioitishwa na rais wa zamani Joseph Kabila, aliyehukumiwa kifo hivi ...
Mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wamekutana Jumatano mjini Brussels nchini Ubelgiji kujadili namna ya kujilinda na kukabiliana na vitisho na uchokozi wa Urusi. Umoja ...
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango. MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili aendelee kupumzika kwa amani na awe ...
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondosha raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza zao za matembezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 14, 2025 na Msemaji wa Idara ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results