Idara ya Uhamiaji nchini imewaondosha raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza za matembezi, kinyume na sheria za nchi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 14, 2025 na ...
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameanzisha hatua ya mwisho kuelekea kufikia makubaliano ya lengo la miaka kumi la kupunguza utoaji wa gesi chafu ya kaboni kuelekea mkutano mkuu wa mazingira wa Umoja wa ...
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imezindua Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi yenye wataalamu 67 kutoka nchi zote wanachama, kwa ajili ya kufuatilia na kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa ...
Mawaziri wa nishati wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuachana kabisa na uagizaji wa gesi kutoka Urusi ifikapo mwisho wa mwaka 2027. Hatua hiyo itauwezesha Umoja wa Ulaya kuondokana na utegemezi ...
Jeneza la Raila Odinga likiwa limefunikwa na bendera ya Kenya limepokelewa na maelfu ya wafuasi katika chuo kikuu ambako mazishi yake yalifanyika. Ibada ya mazishi iliendelea hadi mchana. Oburu Odinga ...
Tangu Jumanne, Oktoba 14, Nairobi, mji mkuu wa Kenya, umekuwa mwenyeji wa mkutano wa siku mbili wa sehemu ya upinzani wa Kongo ulioitishwa na rais wa zamani Joseph Kabila, aliyehukumiwa kifo hivi ...
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango. MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili aendelee kupumzika kwa amani na awe ...
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondosha raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza zao za matembezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 14, 2025 na Msemaji wa Idara ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results