Sherehe hiyo ilikuwa ya kifahari na imeshirikisha wageni wa ngazi za juu: Waziri Mkuu wa China Li Qiang, Dmitry Medvedev, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Urusi, To Lam, Katibu Mkuu wa Chama ...
Kanali Randrianirina ataapishwa kama rais wa Jamhuri ya Madagascar siku ya Ijumaa katika Ikulu ya rais ya Ambohidahy, makao makuu ya Mahakama Kuu ya Katiba, anaripoti mwandishi wetu huko Antananarivo, ...
María Corina Machado ameshinda tuzo hiyo kwa kuendeleza haki za kidemokrasia nchini Venezuela. Ambia Hirsi, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah & Asha Juma Chanzo cha picha, Getty Images Serikali ya ...
Kanisa Katoliki nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele katika kuzungumzia masuala ya kiraia, kisiasa na kijamii. Wakati nyakati zingine jukumu hili hufanywa kupitia mwamvuli ...
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuondoa mechi za Kombe la Dunia za mwaka 2026 kutoka eneo la Boston, akidai kuna wasiwasi wa kiusalama na kumshutumu Meya Michelle Wu kwa kushindwa kudhibiti ...
Jeshi Madagascar limetangaza kuchukua madaraka, baada ya bunge kupiga kura ya kumuondoa rais Andry Rajoelina madarakani kwa kukimbia majukumu yake. Ofisi ya rais imesema kura ya bunge imekosa uhalali.
The Harambee Starlets’ return to the pitch marks a renewed chapter for the team, Their match at Nyayo Stadium is viewed as a test of both resilience and national pride.