MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya mashtaka ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.