Israel inatarajia mateka kuachiliwa Jumatatu asubuhi;Trump akijiandaa kwa ziara ya Mashariki ya Kati
Msemaji wa serikali ya Israeli Shosh Bedrosian ameviambia vyombo vya habari kwamba tumebakisha saa kadhaa kabla ya kuachiliwa kwa "mateka wetu wote". Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Mamlaka nchini ...
Waziri Mkuu mpya wa Japani Takaichi Sanae alilihutubia taifa kwa mara ya kwanza Oktoba 21 usiku. Takaichi alielezea vipaumbele vyake ikiwa ni pamoja na uchumi na kufanya kazi na vyama vya upinzani.
Washiriki katika mkutano wa kimataifa jijini Tokyo nchini Japani wamesisitiza haja ya kuharakisha hatua za kuondoa mabomu ya ardhini nchini Ukraine. Serikali ya Japani imeandaa mkutano huo ili kuunga ...
Kanisa Katoliki nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele katika kuzungumzia masuala ya kiraia, kisiasa na kijamii. Wakati nyakati zingine jukumu hili hufanywa kupitia mwamvuli ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results