Ukraine imeripoti kulengwa na shambulio jipya la Urusi dhidi ya miundombinu yake ya nishati usiku wa Ijumaa, Novemba 7, kuamkia Jumamosi, Novemba 8, na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kukatika kwa ...
Tuliyokuandalia ni pamoja na kocha Gamondi kuteuliwa kuwa kaimu kocha wa Tanzania, Kipchoge akutana na Obama, Tume Huru ya Uchaguzi ya Kamati ya Olimpiki ya Kongo yachapisha orodha ya mwisho ya ...
Dallas Cowboys defensive end Marshawn Kneeland has died from an apparent self-inflicted gunshot wound. The second-year NFL player was 24. Keith Browner, a former USC linebacker and five-year NFL ...
Amri hiyo ilikuwa imetolewa kufuatia vurugu za maandamano yaliyotokea siku ya uchaguzi. Na Mariam mjahid & Asha Juma Chanzo cha picha, Reuters Baraza la Katiba la Ivory Coast siku ya Jumanne ...
Mfalme Abdullah II wa Jordan ameonya kuwa Mashariki ya Kati itaangamia iwapo hakutakuwa na mchakato wa amani utakaopelekea taifa la Palestina. Mfalme huyo alikuwa akizungumza katika mahojiano maalum ...
Kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Amolo Odinga kimeibua majonzi nchini Kenya, wafuasi wa kiongozi huyu wanaeleza hisia zao kutokana na kuondokewa na kinara huyo wa upinzani. Mapema asubuhi ...
From the moment you locate this Long Beach speakeasy’s entrance, marked by a red paper lantern and a colorful mural, you know you’re in for a singular experience. Once inside, cocktails are expertly ...
Mamlaka ya Mpira wa Miguu Jamhuri ya Ireland (FAI), imeidhinisha azimio linaloitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) kusitisha mpango wa klabu za Israel kushiriki mashindano ya bara hilo.
Kuelekea mechi muhimu ya mchujo wa Kombe la Dunia la FIFA 2026 dhidi ya Nigeria, Super Eagles, timu ya taifa ya Gabon, inayojulikana kama Panthers, imetangaza kikosi chenye wachezaji 27. Katika ...
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Profesa John Kondolo, amemtaka mkamdarasi kuongeza kasi ya ujenzi wa jengo la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (STU) la ...
Mwaka 1995, Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Wanawake ulifanyika jijini Beijing, China, ukijadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo na haki za wanawake. Washiriki kutoka mataifa tajiri na maskini ...
Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha rasmi taarifa ya uchunguzi kuhusu mgogoro wa umiliki wa kiwanja namba 189 kilichopo eneo la Msasani Beach, ...