Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
Kwa siku mbili mfululizo Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa 19 wa Shirikisho la Wadau wa Korosho Afrika (ACA) ...
“Mkutano wa 19 wa Korosho Afrika utakuwa jukwaa muhimu kwa wakulima, wawekezaji, na wadau wa sekta ya kilimo cha korosho kujadili mbinu bora za kuimarisha sekta hii. Tanzania ni miongoni mwa ...
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla amesema Soko la kisasa la Chuwini litaleta ...