Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetoa hati ya wito wa kufika mahakamani hapo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake watano, kuhusiana na sakata la kushikiliwa kwa ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Serikali kutangaza kusitisha huduma za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza kutoa vibali ...
Dar es Salaam. Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni. Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na ile ya Championship zilisimama kwa muda katika ...
Babati. Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi.
Baadhi ya mawakala wa mgombea udiwani kata ya Masaba wilayani Butiama kupitia ACT Wazalendo wakiwa kwenye ofisi ya kata hiyo. Picha picha na Beldina Nyakeke Butiama. Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ...
‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekataa maombi ya kusimamishwa shauri la kudharau amri ya mahakama linalowakabili viongozi wa Chadema, wakiwamo Makamu Mwenyekiti (Bara), ...
Mgombea ubunge Uyole kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(Chaumma),Ipyana Njiku akizungumza na mmoja wa wajasiriamali Soko la Uyole wakati akiomba kura na kuhamasisha kujitokeza kushiriki uchaguzi mkuu ...
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeliengua katika mchakato wa kuwania Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), jina la Mwenyekiti wa Mtibwa Sugar, Said Suud.
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondosha raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza zao za matembezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 14, 2025 na Msemaji wa Idara ya ...