Jumuiya ya ushirikiano ya Kusini-Mashariki mwa Asia, ASEAN jana ilitia saini makubaliano ya uboreshaji wa biashara huria na China. Jumuiya ya ushirikiano ya Kusini-Mashariki mwa Asia, ASEAN jana ...
WIZARA ya Mifugo na Uvuvi, iko kwenye mchakato wa kuanzisha Mamlaka ya Bodi ya Mazao na Miundombinu ya Mifugo, lengo likiwa kusimamia masuala ya sekta hiyo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo, Prof ...
María Corina Machado amezaliwa 7 Oktoba 1967 ni mwanasiasa wa Venezuela na mhandisi wa viwanda. Machado ni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Venezuela na aliwahi kuwa mbunge katika Bunge la ...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema anaamini Ukraine iko katika nafasi ya kurejesha tena eneo lake ililopoteza kwa Urusi. Maoni hayo yalikuja kufuatia mazungumzo yake na Rais wa Ukraine Volodymyr ...
Jeshi la Israel limesema Jumatano kuwa limepiga "maeneo zaidi ya 150" katika mji wa Gaza tangu kupanua mashambulizi yake ya ardhini Jumatatu jioni. Na Asha Juma na Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, ...
Maafisa waandamizi wa serikali kutoka Marekani na China wameanza duru mpya ya mazungumzo ya kibiashara nchini Hispania yakilenga uuzaji wa shughuli za mtandao wa TikTok nchini Marekani. Mashirika ya ...
Aina hii ya kisukari huathiri watu ambao hawakupata lishe bora wakiwa watoto na kuathiri ukuaji wa kongosho inayozalisha Insulin inayodhibiti sukari mwilini. Aidha kisukari aina ya tano inaweza ...
Wakati uzalishaji wa mazao ya mifugo ukiongezeka nchini, wachumi na wafugaji wameshauri kuimarishwa soko la ndani na nje, wakisisitiza kuwa ongezeko hilo linahitaji kuendana na uhakika wa soko kwa ...
Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amesema licha ya mkoa huo kukosa takwimu sahihi za uzalishaji wa maziwa, wamejiwekea mikakati ya kuongeza uzalishaji hadi kufikia lita 50,000 ndani ya ...
Mafunzo ya usimamizi wa ngombe na kilimo cha nyasi za kisasa zinazoimarisha afya ya mifugo vimewabadilishia maisha. Mpango huo unadhamiria kuimarisha miradi ya kilimo na mbinu za kuhimili mabadiliko ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results