IDARA ya Kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, imesema kuna changamoto nane kwenye utaratibu wa ajira kwa wageni, ikiwamo kutozingatia sheria, taarifa za kughushi, na ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongeza ajira mpya 300 za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanya jumla ya ajira zote kufikia 1,896 kutoka 1,596 zilizotangazwa awali. Nyongeza hiyo imetokana ...
China imewafuta kazi maafisa tisa waandamizi wa jeshi kutoka Chama cha Kikomunisti kama sehemu ya msako wa muda mrefu dhidi ya ufisadi. Ni pamoja na maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi wa nchi hiyo.
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, ametangaza kulivunja baraza lake la mawaziri kufuatia maandamano mabaya Zaidi kuripotiwa kwenye kisiwa hicho, raia wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara ...
MIONGONI mwa makocha wanaotajwa kutuma maombi ya kazi pale Simba SC kurithi mikoba ya Fadlu Davids aliyetimkia Raja Casablanca ya Morocco siku chache zilizopita, ni pamoja na Patrick Aussems na Didier ...
Dodoma. Mtalaa ulioboreshwa ulioandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) unaendelea kutekelezwa. Pamoja na mambo mengine, lengo la mtalaa huu ni ...
Trump amekanusha kuandika barua ya utata kwa mfanyabiashara aliyehukumiwa kwa makosa ya kingono, Jeffrey Epstein. White House imesema ipo tayari kuruhusu wachambuzi wa maandishi kuchunguza sahihi ili ...
KAMA ulidhani Yanga inapiga porojo katika ujenzi wa Uwanja pale Jangwani, tulia kwanza, kwani kuna mambo mazito yameshaanza na habari mpya ni rasmi mchakato wa kuongezewa eneo unakamilika leo Septemba ...
Ruto has on several occasions called for a cease on term limit talks calling on leaders and Kenyans to focus on development. This is even as leaders allied to the President have continuously assured ...
Swali sio kama AI inabadilisha soko la ajira-ni jinsi athari itapita. Kwa vijana wanaoingia tu kazini, AI sio mabadiliko ya usuli tu; ni wimbi la mawimbi. Mifumo inayotumwa leo ni nadhifu, haraka, na ...
Bukoba. Mahakama Kuu imempa aliyekuwa ofisa wa Jeshi la Polisi nchini, Ally Hassan Muhamad, kibali cha kufungua maombi ya mapitio ya mahakama dhidi ya mabosi wake wawili, kupinga kufukuzwa kazi ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kuongeza nafasi za ajira 300 katika mamlaka hiyo. Taarifa ya Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala TRA, Moshi ...