Afisa mwandamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ametoa wito kwa Marekani kutoipatia Ukraine makombora yanayoongozwa ya Tomahawk. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Urusi Sergey Ryabkov alizungumza ...
Ripoti ya hivi karibuni inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa watoto wako katika hatari ya kufa Sudan Kusini, kutokana na baa la njaa linalochochewa na hatua ya kupunguzwa msaada,vita ...
WAKATI madaktari bingwa wa magonjwa yasiyoambukizwa wakionya kuhusu athari za matumizi ya tumbaku, utafiti mpya umebaini kwamba sigara moja inayovutwa, inapunguza dakika 20 za maisha ya anayevuta.
Taarifa iliyotolewa hapo jana kutoka Port Sudan na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, inatoa wito wa upatikanaji wa huduma za kibinadamu bila vikwazo ili kuzuia kusambaa kwa ...
Siku nyingine mbaya ya joto kali inatarajiwa kutokea nchini Japani ikiwa na nyuzijoto 38 za Selisiyasi ama zaidi mnamo Agosti 3. Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Japani inasema mfumo wa shinikizo la juu ...
Mahakama ya juu nchini Ufilipino imetupilia mbali kesi ya kumuondoa madarakani makamu wa rais wa Ufilipino Sara Duterte, ikisema mchakato huo ni kinyume cha katiba. Bunge la Ufilipino lilimuondoa ...
Wizara ya afya nchini Kenya imetangaza,Kenya pamoja na mataifa mengine 8 ya Afrika yatafaidi kwa kupata dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi,(VVU) ya Lenacapavir,kuanzia Januari mwaka ...
“Nimekuwa nikitafuta doxepin kwa siku tatu na sijapata,” anasema Mona, mwanasaikolojia wa watoto. "Hali inatisha sana, kuna seramu chache (...) hatuwezi tena kupata asidi ya mefenamic kutibu maumivu ...
Blockbuster Mpya Sekta ya dawa mara chache hupata darasa jipya la "blockbuster" la madawa ya kulevya. Kwa mfano, statins, kutumika kudhibiti viwango vya cholesterol, kuwakilishwa soko kubwa kuliko ...
Branches are colored according to the M. tuberculosis complex lineage: pink for lineage 1, blue for lineage 2, purple for lineage 3, and red for lineage 4. Discrete heat maps next to the phylogeny ...
Dar es Salaam. Ingawa baadhi ya watu hufikiri barafu husaidia kubana uke au kuongeza hisia za mapenzi, wataalamu wa afya wamesema matumizi ya barafu ukeni husababisha maambukizi na harufu mbaya sehemu ...
Geita. “Mume wangu alipoteza maisha 1998, mtoto wangu wa tatu akafa mwaka 1999 hali yangu ilikua mbaya sana mwili ulidhoofika, nikawa na upele kila mahali, nywele zote kichwani zilinyonyoka, kikawa ...