Kitengo Shirikishi cha Afya ya Uzazi na Mtoto Zanzibar kimeonya dhidi ya matumizi holela ya dawa ya uzazi wa mpango ya P2, kikisisitiza kuwa dawa hiyo ni kwa ajili ya dharura pekee na haipaswi ...
Hamas inadai inajitahidi kupata na kutambua mabaki yote, lakini inakosa vifaa vinavyohitajika kutokana na uharibifu mkubwa katika Gaza. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, Randrianian/X ...
Zaidi ya watoto 20 walio chini ya umri wa miaka mitano wamefariki dunia katika jimbo la Madhya Pradesh, India, baada ya kutumia dawa ya kikohozi iliyogundulika kuwa na kiwango kikubwa cha kemikali ...
MAMLAKA ya dawa na vifaa tiba ( TMDA ) imetumia maonyesho ya saba ya Kilimo na Ufugaji Kanda ya Ziwa Magharibi kutoa elimu kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kuhusu matumizi sahihi ya dawa, vifaa tiba ...
Kwa kipindi cha miaka 30, eneo hilo lenye utajiri wa mafuta limekuwa likikabiliwa na machafuko, mapigano yakiongezeka mwaka huu ambapo kundi la waasi wa M23 linaloungwa mkono na Rwanda limechukua ...
Huko Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel wanawake katika eneo la Deir al- Balah wanalazimika kutumia majiko ambayo wanachochea taka za plastiki na makaratasi ili kupota ...
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, leo ameitaka jamii ya kimataifa kukataa njaa kama silaha ya vita. Akihutubia kongamano la Umoja wa Mataifa kwa njia ya video, Guterres amesema kuwa ...
Wizara ya afya nchini Kenya imetangaza,Kenya pamoja na mataifa mengine 8 ya Afrika yatafaidi kwa kupata dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi,(VVU) ya Lenacapavir,kuanzia Januari mwaka ...
Dawa ya mapinduzi dhidi ya virusi vya Ukimwi (VVU) ambayo inahitaji kudungwa tu mara 2 kwa mwaka ili kutoa kinga karibu kamili dhidi ya VVU na kuendelea kwa UKIMWI inapaswa kupatikana “mara moja” ...
DAR-ES-SALAAM : MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetoa tahadhari kwa wananchi dhidi ya matumizi holela ya dawa bila ushauri wa wataalamu wa afya, hatua inayoweza kusababisha usugu wa vimelea na ...
Dar es Salaam. Wakati mikoa ya Lindi na Mtwara ikipunguza mimba za utotoni kutokana na utoaji elimu ya afya ya uzazi kwa vijana, kumeibuka changamoto mpya ya uwepo wa matumizi holela ya dawa za uzazi ...