Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha MNRT SACCOS LTD kimefanikiwa kutoa mikopo kwa wanachama wake zaidi ya bilioni 1.2 kwa mwaka ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Kaimu ...
Kitengo Shirikishi cha Afya ya Uzazi na Mtoto Zanzibar kimeonya dhidi ya matumizi holela ya dawa ya uzazi wa mpango ya P2, kikisisitiza kuwa dawa hiyo ni kwa ajili ya dharura pekee na haipaswi ...
Hamas inadai inajitahidi kupata na kutambua mabaki yote, lakini inakosa vifaa vinavyohitajika kutokana na uharibifu mkubwa katika Gaza. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, Randrianian/X ...
Kadri Ukraine inavyoingia katika msimu wake wa nne wa baridi tangu kuanza kwa uvamizi wa Urusi kwa kiwango kikubwa mwaka 2022, Umoja wa Mataifa unaendelea kujitolea kutoa msaada wa kibinadamu kwa raia ...
Zaidi ya watoto 20 walio chini ya umri wa miaka mitano wamefariki dunia katika jimbo la Madhya Pradesh, India, baada ya kutumia dawa ya kikohozi iliyogundulika kuwa na kiwango kikubwa cha kemikali ...
Kwa takribani miaka 15 katika muziki wa Bongo Fleva, Darassa, ambaye anasimamiwa na menejimenti yake ya Classic Music Group (CMG), ameendelea kuwaburudisha na kuwaelimisha mashabiki wake, kama ulivyo ...
Maelfu ya waombolezaji wamehudhuria maombi ya kitaifa ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga leo. Ulinzi mkali umeimarishwa baada ya hapo jana maafisa kufyatua risasi kutawanya umati wa ...
Hakuna uhaba wa mahitaji ya haraka: kati ya hitaji la kulisha raia, kuwahamisha waliojeruhiwa vibaya zaidi, na pia kusafisha maeneo ya Ukanda wa Gaza, ambayo yamekuwa uwanja wa magofu. Kwa sasa, hali ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwamba uungaji mkono wake kwa Argentina "kwa namna fulani" utatokana na matokeo ya uchaguzi ujao wa wabunge, ambao utakuwa wa maamuzi ...