MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya mashtaka ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.
Korea Kaskazini imeanza kujenga Jumba la Makumbusho kwa wanajeshi wake waliofariki katika vita wakisaidi Urusi nchini Ukraine, vyombo vya habari vya serikali vimeripotisiku ya Alhamisi, huku wa nchi ...
Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ni miaka 80 tangu kuanzishwa kwake 1945, lakini pia ni kumbukizi ya miaka 80 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo lilikuwa ni tukio la ...
Kote Afrika Mashariki na Kusini, mamilioni ya wanawake huanza siku zao mapema sana kabla hata ya jua kuchomoza. Huteka maji, huandaa chakula, kuwalea watoto na wazee, kusaidia wanajamii wenye ulemavu ...
Wizara ya afya ya Gaza inayodhibitiwa na Hamas imesema Israel imeirejesha miili ya wapalestina wengine 30 katika Ukanda wa Gaza, na kufikisha jumla ya miili 195 iliyorejeshwa chini ya makubaliano ya ...
Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha rasmi taarifa ya uchunguzi kuhusu mgogoro wa umiliki wa kiwanja namba 189 kilichopo eneo la Msasani Beach, ...
KUNA siri kubwa ya wanamichezo na wasanii nchini kuumizwa na kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga aliyefariki dunia nchini India, Agosti 15, 2025. Hayati Odinga alikuwa karibu na ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwamba uungaji mkono wake kwa Argentina "kwa namna fulani" utatokana na matokeo ya uchaguzi ujao wa wabunge, ambao utakuwa wa maamuzi ...
Mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wamekutana Jumatano mjini Brussels nchini Ubelgiji kujadili namna ya kujilinda na kukabiliana na vitisho na uchokozi wa Urusi. Umoja ...
MCHEZAJI wa zamani wa Simba, William Lucian ‘Gallas’ amesema kama kuna kitu alichofanikiwa beki wa timu hiyo, Shomari Kapombe ni moyo mgumu wa kukwepa mishale na kuweka nguvu katika kazi yake ...
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondosha raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza zao za matembezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 14, 2025 na Msemaji wa Idara ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results