News

KATIKA toleo la gazeti la Nipashe leo imeripotiwa habari ya mwanaume mmoja kukutwa amekatwa kichwa na kiwiliwili kutelekezwa ...
MWANACHAMA wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo, ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Njombe ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inatekeleza masuala yote yaliyoanzishwa na aliyekuwa Spika wa Bunge ...
MWANACHAMA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lumola Kahumbi, amehamia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA).
SERIKALI imeanza mchakato wa kutengeneza mfuko wa ndani wa kuyawezesha mashirika yasiyo ya kiserikali kujiendesha, ili ...
SHAHIDI wa sita upande wa Jamhuri, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Wilson Nchimbi, amedai mshtakiwa Maliki Jafari Maliki ...
KWA miaka mingi siasa za Tanzania zilikuwa na sura ya kijinsia iliyotawaliwa na wanaume, hasa kwenye nafasi za juu kama urais ...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru kesi ya Dismas Ezekiel, kijana aliyefungwa miaka 30 gerezani kwa kosa la kumwibia raia wa China kiasi cha Sh. milioni 187 kwa kutumia kisu, isikilizwe upya ...
JOTO la uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kupanda, huku zikiwa zimebaki siku sita tu kabla ya uamuzi wa ...
Mgombea urais kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya ...
Mgombea urais kupitia chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo, amesema sera za chama hicho ...
KATIKA anga la Tanzania, kuna viumbe wakubwa wenye mabawa mapana, wanaozunguka juu kwa mduara mithili ya sanamu hai za uhuru ...