Mkazi wa Mtaa wa Sawe, Kata ya Maisaka, mjini Babati mkoani Manyara, Yona Angres amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa ni ...
Benki kuu ya Tanzania (BoT), imesema mwaka huu ukuaji wa uchumi Tanzania Bara unatarajiwa kuwa asilimia sita huku ule wa ...
Ushindani unaoendelea katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unatajwa kuwapa wakati mgumu ...
Mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni, Daud George (28) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na ...
Ujenzi wa Daraja la Mpirani lililovunjika na kusababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara katika Barabara Kuu ya ...
Chama cha Wananchi (CUF), kimemfuta uanachama mbunge wake wa Mtambile visiwani Pemba, Seif Salim Seif kwa kile kilichodaiwa ...
Wakati Jiji la Mbeya likieleza hatua za haraka kukabiliana na mlipuko wa kipindupindu, Kyela nayo imeweka mikakati ya ...
Kiwango cha mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize alichoonyesha katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya TP Mazembe ...
Wakati mataifa ya Tanzania, Kenya, na Uganda yakijipanga kuandaa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027, ...
Ofisa wa Bima, Said Salum Nyampanguta (29) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu kesi mbili tofauti za ...
Madereva wa mabasi yanayofanya safari kutoka Stendi Kuu ya Lindi kuelekea Masasi mkoani Mtwara na Nachingwea, Liwale na ...
Wawili hao pamoja na wafuasi wao wamekuwa wakitupiana maneno, kila upande ukijaribu kuonyesha uzuri wa mgombea wao huku ...