Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu 173 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu ikiwemo usafirishaji wa nyara za ...
Mtalii mmoja raia wa Israel ambaye jina lake halijafahamika (mwanamke) amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa ...
Wakati uchaguzi wa wabunge ukitarajiwa kufanyika nchini Ujerumani Februari 23, 2025, Serikali ya nchi hiyo imemshutumu ...
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero (DC), Dunstan Kyobya amesema Serikali haitawafumbia macho watu watakaohusika kudhoofisha jitihada za kulinda na kuhifadhi pori la akiba Kilombero ambalo ni ...
Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka utakuwa unafahamu mizaha (Pranky) ya watengeneza maudhui yasiyofaa kwa lengo la kupata ufuatiliaji kwa watumiaji.
Wakati ugonjwa wa kipindupindu ukitajwa kuwapo katika halmashauri tatu za Mkoa wa Mbeya, mkuu wa mkoa huo, Juma Homera ametoa maelekezo kwa wakuu wa wilaya na kamati za afya.
Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) unazidi kupamba moto baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, John Heche kuchukua na kurejesha fomu kuwania nafasi ya ...
Uboreshaji na ujenzi wa barabara za njia nne kwenye baadhi ya maeneo ya miji ya Moshi na Arusha unanukia baada ya Serikali ...
Hofu imetanda kwa wananchi katika Mtaa wa Isonta Kata ya Itende jijini hapa kufuatia uchimbaji wa kifusi unaoendelea katika ...
Kundi la Hamas limevujisha kipande cha video kinachomwonyesha mwanajeshi wa Israel wanayemshikilia mateka katika eneo la Gaza tangu lilipotekeleza shambulizi la kushtukiza nchini Israel Oktoba ...
Russia imesema itajibu mapigo kufuatia mashambulizi ya makombora nane ya vikosi vya Ukraine. Ukraine ilipewa na Marekani makombora hayo aina ya ATACMS.