KIKOSI cha Simba kinajiandaa na mchezo wa hatua ya 64-Bora ya Kombe la Shirikisho la ndani dhidi ya Wonders ya Kilimanjaro ...
TABORA United inapiga hesabu ndefu juu ya namna gani itaikaribisha Simba nyumbani na papo hapo kocha wa timu hiyo ameshtukia ...
SIKU chache baada ya maboresho ya ratiba, kocha mkuu wa Dodoma Jiji, Mecky Mexime amekiri mwezi ujao wakati Ligi Kuu Bara ...
KIUNGO Nassor Kapama amezua maswali baada ya kuonekana akijifua na Fountain Gate kisha ghafla kurudi chaka lake la zamani wa ...
NYOTA mpya wa Namungo, Issa Abushehe ‘Messi’, amesema kitendo cha kujiunga na kikosi hicho anaamini itakuwa njia nzuri kwake ...
KITASA wa Fountain Gate, Joram Mgeveke, amekiri pamoja na kukutana na washambuliaji tofauti katika maisha ya soka, lakini ukweli hakuna aliyekuwa hatari kama Fiston Mayele alivyokuwa ...
Walioondoka ni wakongwe Salum Kimenya, Jumanne Elfadhil, Samson Mbangula, Jeremia Juma, Nurdin Chona na Jamal Masenga, ambao ...
CHELSEA inataka kiasi kisichopungua Pauni 70 milioni kutoka kwa timu yoyote inayohitaji saini ya straika wake raia Ufaransa, ...
Mnunka ambaye msimu uliopita aliibuka kinara wa ufungaji alipotupia mabao 21, alikuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi ...
SIYO kila changamoto zipo kumdidimiza mtu, nyingine zinasaidia kukomaza jinsi ya kutafsiri mambo kama anavyosema mshambuliaji ...
MBIO za mita 3000 kuruka viunzi na maji (steeplechase) zimekuwa ni mtihani usio na majibu kwa miaka 45 sasa tangu Filbert ...
KOCHA Xabi Alonso ameupuuzia uvumi unaodai kwamba atakwenda kuwa kocha mpya wa Real Madrid mwishoni mwa msimu huu.